JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA Tel: +255 22 21122065/7 Fax No. +255 22 2112538 Email: tanzparl@parliament.go.tz Ofisi ya Bunge S.L.P. 941 DODOMA…
Continue Reading....Author: jomushi
Epiq Bongo Star Search 2012 ni Walter Chilambo
MSHINDI wa Shindano la kumtafuta msanii mwenye kipaji cha muziki maarufu kama Epiq Bongo Star Search (EBSS) hatimaye amejulikana usiku huu ndani ya Ukumbi wa…
Continue Reading....Uchaguzi TAREFA, TAFCA Kufanyika Desemba 22
UCHAGUZI wa viongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Tabora (TAREFA) na Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) sasa utafanyika…
Continue Reading....Waasi Watungua Ndege ya Jeshi Sudan
WAASI katika Jimbo la Kordofan Kusini, nchini Sudan wamesema kuwa wametungua ndege ya kijeshi karibu na mpaka wake na Sudan Kusini. Msemaji wa kundi la…
Continue Reading....Dk Mwakyembe Acharuka, Avunja Bodi ya Usimamizi wa Bandari
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), baada ya kufuta uteuzi wa wajumbe wote wa…
Continue Reading....Rais Kikwete Akumbana na Mabango Uzinduzi wa Bomba la Gesi Dar
RAIS Jakaya Kikwete amejikuta akipokewa na mabango wakati akizindua mradi mkubwa wa bomba la gesi asilia linalotoka Mtwara hadi eneo la Kinyerezi jijini Dar es…
Continue Reading....