Author: jomushi
Mashindano ya Gofu Johnnie Walker Waitara Yafanyika Lugalo Dar es Salaam
 Mzee Nicolaus Silwinga akijiandaa kupiga kipira katika hall namba moja wakati wa mashindano ya kuwania kombe la John Walker Waitara yaliyofanyika katika viwanja vya Gofu…
Continue Reading....Matokeo ya Ligi Kuu Tanzania Bara Leo (10/11/2012), Simba, Azam Hoi
Matokeo ya Ligi Kuu Tanzania Bara Leo (10/11/2012) 1) Azam FC 1 na Mgambo Shooting 2 2) Simba SC 0 na Toto African 1
Continue Reading....Mkuu wa Shirika la Upelelezi la Marekani (CIA) Ajiuzulu
MKURUGENZI wa Shirika la Upelelezi la Marekani CIA, David Patreaus amejiuzulu kutokana na kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa ambayo yamezua hali isiyofaa kwake…
Continue Reading....Kanisa la Anglikana Lapata Askofu Mkuu Ulimwenguni
KIONGOZI wa kiroho wa Kanisa la Anglikana, Justin Welby amesema ameshangazwa na nyadhifa aliyopewa ya Askofu Mkuu wa Kanisa Hilo Ulimwenguni ikiwa ni baada ya…
Continue Reading....Matukio Katika Tamasha la Simama ‘Awareness’
Mtoto wa shule ya msingi Hekima ya jiji Dar es Salaam akieleza machache kwa watoto wenzake, pembeni yake ni Mwakilishi wa Ustawi wa Jamii Kinondoni,…
Continue Reading....