Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,528

Author: jomushi

Kikao cha Dharura cha Viongozi wa Nchi za SADC Chafanyika Tanzania

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Kikao cha Dharura cha Viongozi wa Nchi za SADC Chafanyika Tanzania

Continue Reading....

Mama Salma Kikwete Ayataka Mashirika, Makampuni Binafsi Kuwasaidia Watoto

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Mama Salma Kikwete Ayataka Mashirika, Makampuni Binafsi Kuwasaidia Watoto

Na Anna Nkinda, Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete ameyataka makampuni na mashirika binafsi kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi ili nao…

Continue Reading....

Zanzibar Heroes Washindi wa Tatu CECAFA Tusker Chalenji, Waibamiza Kili Stars

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Zanzibar Heroes Washindi wa Tatu CECAFA Tusker Chalenji, Waibamiza Kili Stars

TIMU ya mpira wa miguu ya Zanzibar Heroes kutoka mjini Zanzibar imefanikiwa kutwaa nafasi ya tatu katika mashindano ya CECAFA Tusker Chalenji baada ya kuifunga…

Continue Reading....

Mabondia Fransic Miyayusho na Nassibu Ramadhani Wapima Uzito

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Mabondia Fransic Miyayusho na Nassibu Ramadhani Wapima Uzito

Continue Reading....

Wapinzani Wapinga Kujadiliana na Mursi, Ikulu Yavamiwa

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Wapinzani Wapinga Kujadiliana na Mursi, Ikulu Yavamiwa

RAIS Mohamed Mursi leo Desemba 08, 2012 alitarajiwa kufanya mazungumzo juu ya kumaliza mzozo mbaya nchini Misri tangu achukue madaraka. Hata hivyo viongozi wakuu wa…

Continue Reading....

Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

Posted on: December 8, 2012December 8, 2012 - jomushi
Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

LEO ni leo. Waswahili wanasema ‘mtoto hatumwi dukani’. Mashindano ya CECAFA Tusker Chalenji yanatarajia kumalizika leo jioni ambapo mbabe wa kombe hilo kwa mwaka 2012…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari