Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,523

Author: jomushi

Wizara ya Nishati na Madini Kutumia Bilioni 8.9 Kuwainua Wachimbaji Wadogo

Posted on: December 11, 2012 - jomushi
Wizara ya Nishati na Madini Kutumia Bilioni 8.9 Kuwainua Wachimbaji Wadogo

WIZARA ya Nishati na Madini imetenga jumla ya sh. bilioni 8.9 kwa dhamira ya kuwainua wachimbaji wadogo wa madini nchini ili kukuza kipato chao na…

Continue Reading....

Walimu Waiomba Serikali Itenge Bajeti Kuboresha Elimu za Awali

Posted on: December 11, 2012 - jomushi
Walimu Waiomba Serikali Itenge Bajeti Kuboresha Elimu za Awali

Na Mwandishi wa Thehabari Korogwe Vijijini BAADHI ya walimu na wazazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe wameiomba Serikali kutenga bajeti maalumu kwa ajili ya…

Continue Reading....

Sherehe za Miaka 51 ya Uhuru Ikulu

Posted on: December 11, 2012December 11, 2012 - jomushi
Sherehe za Miaka 51 ya Uhuru  Ikulu

Continue Reading....

Kim Aita 24 Stars

Posted on: December 11, 2012December 11, 2012 - jomushi
Kim Aita 24 Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini jioni ya Desemba 12 mwaka huu kuajianda kwa mechi ya kirafiki…

Continue Reading....

Taarifa ya Dar City Press Juu ya Tukio la Mwandishi Kupigwa Risasi Dar

Posted on: December 10, 2012December 13, 2012 - jomushi
Taarifa ya Dar City Press Juu ya Tukio la Mwandishi Kupigwa Risasi Dar

KUFUATIA kupigwa risasi, kujeruhiwa begani na kulazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa mwandishi wa Tanzania Daima Bwana Shabani Matutu (30) ambaye pia ni…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Kesho Anaanza Ziara Wilayani Mlele Mkoa wa Katavi

Posted on: December 10, 2012 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Kesho Anaanza Ziara Wilayani Mlele Mkoa wa Katavi

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda kesho Desemba 11, 2012 anatarajiwa kuanza ziara ya siku 13 kwenye jimbo la Katavi wilayani Mlele, mkoani Katavi ambako atatembelea kata…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari