Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 152

Author: jomushi

Wafanyabiashara Congo Waipa Kongolee Serikali ya Tanzania

Posted on: October 7, 2016 - jomushi
Wafanyabiashara Congo Waipa Kongolee Serikali ya Tanzania

  Na Frank Shija, MAELEZO WAFANYABIASHARA kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wafurahishwa na hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kuondoa vikwazo vya usafirishaji…

Continue Reading....

Waziri Mbarawa Awafuata TANROADS, Atoa Maagizo…!

Posted on: October 7, 2016 - jomushi
Post Tags: TANROADS
Waziri Mbarawa Awafuata TANROADS, Atoa Maagizo…!

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameuagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kuboresha Idara ya Mipango na Usanifu katika wakala…

Continue Reading....

Tamasha Kubwa la Kusifu na Kuabudu Kufanyika Mwanza

Posted on: October 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Tamasha
Tamasha Kubwa la Kusifu na Kuabudu Kufanyika Mwanza

Jumapili Oktoba 09, 2016 katika Kanisa la “EAGT Lumala Mpya International Church” Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, linatarajiwa kufanyika tamasha kubwa la Kusifu na…

Continue Reading....

Mkuu wa Mkoa Mwanza Awafunda Vijana UVCCM Nyamagana

Posted on: October 7, 2016 - jomushi
Post Tags: UVCCM
Mkuu wa Mkoa Mwanza Awafunda Vijana UVCCM Nyamagana

      Mongela amewataka vijana kubuni njia mbalimbali halali za kuwaingizia kipato ikiwemo ujasiriamali badala ya kukaa bila kazi huku wakijivunia kuwa kwenye vyama…

Continue Reading....

Ukatili kwa Mwanafunzi; Waziri Amuadhibu Mkuu Sekondari ya Kutwa Mbeya

Posted on: October 7, 2016October 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Ukatili
Ukatili kwa Mwanafunzi; Waziri Amuadhibu Mkuu Sekondari ya Kutwa Mbeya

Na Frank Shija, MAELEZO. MAMLAKA husika ya nidhamu kwa walimu imeagizwa kumvua madaraka Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kutwa ya Sekondari ya Mbeya, Mwl. Magreth…

Continue Reading....

Rais Magufuli Amfagilia Bakhresa, Aipa Masharti TANESCO…!

Posted on: October 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Rais Magufuli
Rais Magufuli Amfagilia Bakhresa, Aipa Masharti TANESCO…!

       Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari