Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 151

Author: jomushi

Mke wa Rais Obama Kujadiliana na Wasichana Watanzania

Posted on: October 9, 2016 - jomushi
Mke wa Rais Obama Kujadiliana na Wasichana Watanzania

  WASICHANA 25 kutoka nchini Tanzania wanatarajiwa kufanya majadiliano ya moja kwa moja na mke wa Rais wa Marekani, Bi Michelle Obama wiki ijayo. Wasichana…

Continue Reading....

NEC Yapongezwa kwa Programu ya Elimu ya Mpiga Kura

Posted on: October 9, 2016 - jomushi
NEC Yapongezwa kwa Programu ya Elimu ya Mpiga Kura

Baadhi ya Wanachi wakifuatilia ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere wilayani Bariadi mkoani…

Continue Reading....

NMB Mlimani City Wasaidia Watoto Yatima Kituo cha Chakuwama

Posted on: October 9, 2016 - jomushi
NMB Mlimani City Wasaidia Watoto Yatima Kituo cha Chakuwama

   Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mlimani City, Seka Urio akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo  cha Yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza wakati wa…

Continue Reading....

Wajumbe Baraza la Ardhi Kinondoni Watakiwa Kutobweteka

Posted on: October 9, 2016 - jomushi
Post Tags: Ardhi
Wajumbe Baraza la Ardhi Kinondoni Watakiwa Kutobweteka

   Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kulia), akizungumza na wajumbe wa baraza  la ardhi wa wilaya hiyo Dar es Salaam juzi, wakati wakipeana…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Azungumza na Mabohora Duniani…!

Posted on: October 9, 2016 - jomushi
Rais Dk Magufuli Azungumza na Mabohora Duniani…!

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Oktoba 08, 2016 amehutubia katika tamasha la madhehebu ya Bohora ambayo yanafanya…

Continue Reading....

Mjeruhiwa Macho na Scorpion Amliza Paul Makonda…!

Posted on: October 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Vitendo vya Ukatili
Mjeruhiwa Macho na Scorpion Amliza Paul Makonda…!

     Kijana Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho na Salumu Henjelewe maarufu kama Scorpion (katikati), akisaidiwa na ndugu zake wakati akiingia ofisi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari