Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,507

Author: jomushi

Kagame Aonywa Dhidi ya Kuwasaidia Waasi

Posted on: December 20, 2012 - jomushi
Kagame Aonywa Dhidi ya Kuwasaidia Waasi

RAIS Barrack Obama wa Marekani ametoa wito kwa rais wa Rwanda Paul Kagame, kusitisha msaada anaotoa kwa makundi ya waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya…

Continue Reading....

Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Atupa Kadi Mkutanoni, Waziri Afunga Hoteli ya Kitalii Dar

Posted on: December 20, 2012 - jomushi
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Atupa Kadi Mkutanoni, Waziri Afunga Hoteli ya Kitalii Dar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kuandamwa na migogoro baada ya jana kuibuka mwingine mkubwa katika kikao chake cha ndani mkoani Katavi kiasi cha…

Continue Reading....

Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuzindua ujenzi wa jengo la TBA

Posted on: December 20, 2012December 20, 2012 - jomushi
Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuzindua ujenzi wa jengo la TBA

Wizara ya Ujenzi inapenda kuutarifu Umma kuwa siku ya Alhamisi tarehe 20/12/2012, Mheshimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Continue Reading....

Mtoto wa Dk. Salmin Amour Amkana Nduguye

Posted on: December 20, 2012 - jomushi
Mtoto wa Dk. Salmin Amour Amkana Nduguye

MTOTO wa pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Zanzibar, Dk. Salmin Amour, Amin Salmin, ameibuka na kukanusha vikali kuwa ‘Ndugu Jambazi’ Kassim Ramadhan Juma…

Continue Reading....

Dkt Kikwete akutana na Mwakilishi wa Benk ya Dunia,

Posted on: December 20, 2012December 20, 2012 - jomushi
Dkt Kikwete akutana na Mwakilishi wa Benk ya Dunia,

Raisi Kikwete aagana na Balozi wa Uganda na kukutana na Wakilishi wa Benki ya Dunia pia azungumza na rais mstaafu wa Kosovo Picha na Ikulu

Continue Reading....

Mtibwa Yaingia Fainali Kombe la UHAI

Posted on: December 20, 2012December 20, 2012 - jomushi
Mtibwa Yaingia Fainali Kombe la UHAI

Mtibwa Sugar imekata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya Kombe la Uhai inayoshirikisha timu za vijana wenye umri chini ya miaka 20 za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari