Chama cha Ngumi za Kulipwa Cha Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA) kimepata nyumbani baada ya Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Mh. Gaudence Lyimo…
Continue Reading....Author: jomushi
Utajiri wa Gesi Asilia: Tuwasikilize Watanzania wa Mtwara na Lindi. Tusipuuze
Na Zitto Kabwe MAANDAMANO ya amani yaliyofanyika mjini Mtwara siku ya alhamis wiki hii yameibua hoja mbali mbali kutoka kwa viongozi, wananchi, vyombo vya habari…
Continue Reading....Catherine Masumbiga Aibuka Mwanamitindo Bora 2012
Mwanamitindo wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) amepatikana jana usiku kwenye shindano lililofanyika kwenye Klabu ya New Maisha jijini Dar es Salaam akiwa kwenye picha…
Continue Reading....Serikali Yaombwa Kuongeza Mikopo kwa Vijana
Na Anna Nkinda – Kagera SERIKALI imeombwa kuongeza kiasi cha mkopo kinachotoa kwa vijana kupitia mfuko wa maendeleo wa vijana na Halmashauri za wilaya kwani…
Continue Reading....Klabu Zasubiri Fedha zao TRA Zicheze Ligi Kuu
KLABU 14 ambazo timu zao zinashiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimesema hazitacheza hatua ya pili ya Ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Januari 26 mwakani hadi zitakaporejeshewa…
Continue Reading....Chiotcha Aonja Machungu ya Cheka
BONDIA kutoka Jamhuri ya watu wa Malawi Chiotcha Chimwemwe alionja machungu ya Mtanzania Francis Cheka katika mpambano wao uliopewa jina na “Vita vya Ziwa Nyasa”…
Continue Reading....