Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 148

Author: jomushi

Makamu wa Rais Suluhu Hassan Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Wodi ya Wazazi Amana

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Makamu wa Rais Suluhu Hassan Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Wodi ya Wazazi Amana

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutbia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi…

Continue Reading....

Baraza la Watoto Mkoani Mwanza Lataka Fursa Sawa kwa Watoto

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Baraza la Watoto Mkoani Mwanza Lataka Fursa Sawa kwa Watoto

  Mwenyekiti wa Baraza la Watoto mkoani Mwanza, Paulina Mashauri, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo Jijini Mwanza yamefanyika…

Continue Reading....

TAMWA Yaanza Kutoa Mafunzo Uandishi Habari za Usalama Barabarani

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
TAMWA Yaanza Kutoa Mafunzo Uandishi Habari za Usalama Barabarani

        MKURUGENZI Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Eda Sanga akizungumza kabla ya ufunguzi wa mafunzo hayo alisema TAMWA…

Continue Reading....

Mkuu wa Wilaya ya Same Achoma Shamba la Mirungi

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Mkuu wa Wilaya ya Same Achoma Shamba la Mirungi

 Wakazi wa Kijiji cha Kisesa Kata ya Vudee wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa shambala Mirungi   Mkulima wa zao la Mirungi Johnson Charles Kangara akiwa…

Continue Reading....

Tamwa na Tamko la Siku ya Mtoto wa Kike Duniani

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Tamwa na Tamko la Siku ya Mtoto wa Kike Duniani

  MAADHIMISHO ya Kimataifa Siku ya Mtoto wa kike Duniani yalitangazwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011. Maadhimisho ya kwanza ya siku hii yalifanyika Oktoba…

Continue Reading....

Tanzania Yafanya Utafiti Mbegu ya Mahindi Meupe kwa GMO

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Tanzania Yafanya Utafiti Mbegu ya Mahindi Meupe kwa GMO

   Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda, akizindua utafiti huo katika Kituo cha Utafiti cha Makutupora mkoani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari