Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,408

Author: jomushi

Mambo Muhimu 3 Katika Hotuba ya Rais Kikwete ya Februari

Posted on: March 1, 2013 - jomushi
Mambo Muhimu 3 Katika Hotuba ya Rais Kikwete ya Februari

Mambo Muhimu 3 Katika Hotuba ya Rais Kikwete ya Februari KATIKA hotuba ya Mwisho wa Mwezi Februari, Rais Jakaya Kikwete amezungumzia na kutoa ufafanuzi wa…

Continue Reading....

FBI Waingia Zanzibar Kusaka Wauaji wa Padri Mushi

Posted on: March 1, 2013 - jomushi
FBI Waingia Zanzibar Kusaka Wauaji wa Padri Mushi

ASKARI wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamewasili Zanzibar kufanya uchunguzi wa kuwabaini waliomuua kwa kumpiga risasi, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki. Kamishna…

Continue Reading....

Mama Salma Kikwete Asisitiza kliniki kwa Wajawazito

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Mama Salma Kikwete Asisitiza kliniki kwa Wajawazito

Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Sumbawanga WAJAWAZITO wametakiwa kuhudhuria kliniki mapema pale wanapojitambua kuwa na ujauzito hii itawasaidia kupata huduma mbalimbali za afya ikiwa…

Continue Reading....

Bosi wa IEBC Awataka wagombea Kuheshimu Matokeo ya Uchaguzi

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Bosi wa IEBC Awataka wagombea Kuheshimu Matokeo ya Uchaguzi

Na Isaac Mwangi, EANA MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Kenya (IEBC), Ahmed Isaack Hassan ametoa wito kwa vyama vya siasa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu…

Continue Reading....

Rais wa Zanzibar na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Rais wa Zanzibar na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania

Continue Reading....

Wajumbe Bodi ya Shirika la viwango Tanzania (TBS), Wateuliwa

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Wajumbe Bodi ya Shirika la viwango Tanzania (TBS), Wateuliwa

UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA TBS RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Prof.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari