Malaika Team wakitoa maelezo kwa wateja waliofika kwenye maonyesho ya bidhaa wanazozikodisha kwa ajili ya matukio na hafla mbali mbali zikiwemo Harusi, mikutano, sherehe za…
Continue Reading....Author: jomushi
TFF Yawasilisha Ombi la Kukutana na Waziri wa Michezo
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewasilisha rasmi maombi ya kuonana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara ili kuzungumzia…
Continue Reading....Mabingwa wa Michezo Tofauti Kuzipiga Tanga
BINGWA wa Kickboxing, Hamis Mwakinyo atazipiga na Bingwa wa Taifa wa Ngumi za Kulipwa nchini uzito wa ‘light weight kg 60’, Said Mundi wa Tanga…
Continue Reading....Uchaguzi Kenya; Kenyatta Aongoza kwa 54% Odinga 41%
Na dev.kisakuzi.com Kenya; MATOKEO ya awali ya uchaguzi Mkuu nchini Kenya yameanza kutangazwa baada ya siku ndefu huku kura za awali zikionesha mchuano mkali upo…
Continue Reading....Rais wa Venezuela Hugo Chavez Afariki
MAKAMU wa Rais wa Venezuela Nicholas Marduro ametangaza kifo cha Rais Hugo Chavez (58) kufuatia kuugua kwa muda mrefu maradhi ya Saratani. Rais Chavez alikuwa…
Continue Reading....Mkurugenzi Mkazi wa Zamani wa FES ya Ujerumani Atembelea CCM
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Oganaizesheni, Muhammed Seif Khatib akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi mpya wa Taasisi ya FES ya Ujerumani, Rolf Paasch, wakati…
Continue Reading....