Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 13

Author: jomushi

Mwakilishi, Mbunge Jimbo la Tungu Wasaidia Ujenzi wa Soko la Samaki, Tindini

Posted on: July 23, 2017 - jomushi
Mwakilishi, Mbunge Jimbo la Tungu Wasaidia Ujenzi wa Soko la Samaki, Tindini

Wananchi wa Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu wakishirikiana na Mbunge wao na Mwakilishi katika ujenzi wa Taifa wa Soko la Samaki katika ufukwe wa Bahari…

Continue Reading....

Matukio Tamasha la Castle Lite Unlocks, Leaders

Posted on: July 23, 2017 - jomushi
Post Tags: Tamasha
Matukio Tamasha la Castle Lite Unlocks, Leaders

Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa…

Continue Reading....

Utafiti Waonyesha Hoteli za Nyota Mbili na Tatu Hupendelewa Zaidi

Posted on: July 23, 2017 - jomushi
Post Tags: Hoteli za Kitalii
Utafiti Waonyesha Hoteli za Nyota Mbili na Tatu Hupendelewa Zaidi

Na Jumia Travel Tanzania JE ushawahi kupanga kwamba unataka kwenda kulala kwenye hoteli ya nyota ngapi? Ni vigezo gani ambavyo huwa unavitumia kutambua kwamba hoteli hiyo…

Continue Reading....

Kongamano la Raha za Pwani Lavutia Wengi Maryland, USA

Posted on: July 23, 2017 - jomushi
Kongamano la Raha za Pwani Lavutia Wengi Maryland, USA

Msanii wa Bongo flava na mfalme wa miduara AT, akiongelea utamaduni wa kiswahili na raha za pwani kwenye jopo la kongamano la raha za pwani…

Continue Reading....

HALMASHAURI YA IGUNGA YATAKIWA KUTENGA BAJETI KUINUA KILIMO

Posted on: July 21, 2017 - jomushi
HALMASHAURI YA IGUNGA YATAKIWA KUTENGA BAJETI KUINUA KILIMO

   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Costa Ulomi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa…

Continue Reading....

TAWLA Yatoa Mafunzo Kushughulikia Watoto Walio Katika Ukinzani na Sheria

Posted on: July 21, 2017 - jomushi
TAWLA Yatoa Mafunzo Kushughulikia Watoto Walio Katika Ukinzani na Sheria

Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP), Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria ulioandaliwa na chama cha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari