Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,141

Author: jomushi

Eliud Mvella Ajiondoa Mchakato wa uchaguzi TFF

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
Eliud Mvella Ajiondoa Mchakato wa uchaguzi TFF

MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Eliud Mvella amejiondoa kwenye mchakato wa uchaguzi uliopangwa kufanyika Oktoba 27 mwaka…

Continue Reading....

Temeke, Mjini Magharibi Kucheza Nusu Fainali Copa Coca-Cola

Posted on: September 12, 2013September 12, 2013 - jomushi
Temeke, Mjini Magharibi Kucheza Nusu Fainali Copa Coca-Cola

TEMEKE na Mjini Magharibi zinapambana Septemba 13 mwaka huu katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Copa Coca-Cola kwa vijana wenye umri chini ya…

Continue Reading....

Mwenge Wazinduwa Klabu ya Kupinga Rushwa Lindi

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
Mwenge Wazinduwa Klabu ya Kupinga Rushwa Lindi

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi VIJANA nchini wametakiwa kuwa wawazi, waaminifu na waadilifu kwani huo ndiyo msingi mkubwa wa kupambana na rushwa ili waweze kuwa…

Continue Reading....

Kauli ya Mengi Dhidi ya Tuhuma Zilizotolewa Kwake…!

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
Kauli ya Mengi Dhidi ya Tuhuma Zilizotolewa Kwake…!

SEPTEMBA 7, 2013 nilipokea barua pepe (email) yenye kichwa cha habari kisemacho “ubinafsi/ufisadi wa MENGI na Chuki/Fitina kwenye Maendeleo”. Aliyetuma email hiyo alijitambulisha kama “CCM…

Continue Reading....

JK Mjini Windhoek Kuhudhuria Mkutano wa SADC Troika Organ

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
JK Mjini Windhoek Kuhudhuria Mkutano wa SADC Troika Organ

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Windhoek, Namibia, jioni ya Septemba 11, 2013, kuhudhuria Mkutano wa Asasi ya…

Continue Reading....

Darasa la Saba Washerekea Kumaliza Mitihani

Posted on: September 12, 2013September 12, 2013 - jomushi
Darasa la Saba Washerekea Kumaliza Mitihani

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari