Na Mwandishi Wetu WATEJA walioko kote nchini sasa wana fursa ya kupata taarifa sahihi zinazohusu ubora wa huduma na bidhaa mbalimbali zilizo sokoni kwa njia…
Continue Reading....Author: jomushi
‘Malaria Inapungua Lakini Bado ni Hatari Sana’
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa pamoja na kwamba kiwango na maambukizi ya ugonjwa wa malaria yanapungua kwa kasi…
Continue Reading....Rais Kikwete Awataka Wafadhili Kutoa Fedha za Malengo ya Milenia
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewataka wabia wa maendeleo wa nchi masikini kutimiza ahadi zao kama njia ya uhakika kuhakikisha…
Continue Reading....Pori Tengefu Haligawanywi -Pinda
SERIKALI imetengua tamko lilitolewa Machi 19, mwaka huu na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki la kupunguza ukubwa wa pori tengefu la Loliondo…
Continue Reading....Mama Salma Akiomba Chuo cha Monmouth Kufundisha Kishwahili
Na Anna Nkinda – New York Mama Salma Kikwete amekiomba chuo kikuu cha Monmouth cha mjini New Jersey nchini Marekani kufundisha wanafunzi wake lugha ya…
Continue Reading....Rais Kenyatta Alihutubia Taifa Kuhusu Uvamizi, Atangaza Siku Tatu za Maombolezo
RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amelihutubia Taifa Usiku huu huku akitangaza siku tatu za maombolezo kuanzia Kesho na bendera kupepea nusu mlingoti, nchi nzima. Rais…
Continue Reading....