Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,122

Author: jomushi

Watoto Nchi Zinazoendelea Wanakabiliwa na Ujinga, Maradhi na Umaskini – Mama Salma Kikwete

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Watoto Nchi Zinazoendelea Wanakabiliwa na Ujinga, Maradhi na Umaskini – Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lincoln WATOTO wengi nchi zinazoendelea wanakabiliwa na tatizo la ujinga, maradhi na umaskini hivyo basi kupatikana kwa elimu bora kutawasaidia…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ailalamikia ICC, Adai Inaharibu Mahusiano na Afrika

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Ailalamikia ICC, Adai Inaharibu Mahusiano na Afrika

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mwenendo wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuhusu Bara la…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ahoji Umaskini Katika Dunia Tajiri, Ataka Afrika Kupata Kiti cha Kudumu UN

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Ahoji Umaskini Katika Dunia Tajiri, Ataka Afrika Kupata Kiti cha Kudumu UN

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Septemba 27, 2013, amehutubia Kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA)…

Continue Reading....

Serikali Yabariki Tamasha la Utamaduni Handeni

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Serikali Yabariki Tamasha la Utamaduni Handeni

Na Mwandishi Wetu, Handeni SERIKALI kwa kupitia Mkurugenzi Mtendaji wilayani Handeni, mkoani Tanga, Dk. Khalfany Haule, imebariki kufanyika kwa tamasha la utamaduni la Handeni Kwetu…

Continue Reading....

Miss Philippines Wins Miss World in Indonesia

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Miss Philippines Wins Miss World in Indonesia

Continue Reading....

Serikali Yayafungia Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa ‘Uchochezi’

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Serikali Yayafungia Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa ‘Uchochezi’

SERIKALI imetangaza kuyafungia kutochapishwa Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kuanzia Septemba 27 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kudaiwa kuandika habari na makala za uchochezi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari