Author: jomushi
Polisi Wapeleka Kikosi Maalum Kuwasaka Waliovamia Kituo Malinyi
Na Mwandishi Wetu JESHI la Polisi Tanzania, limepeleka timu maalumu ya askari kutoka makao makuu kwenda wilayani Ulanga, Mkoa wa Morogoro katika Operesheni ya kuwasaka…
Continue Reading....Spika Makinda: Mbunge Aliyetafuna Posho Arejeshe
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda jana alipigilia msumari sakata la wabunge kuchukua posho bila kuzifanyia kazi stahiki kwa kuwaamuru wazirudishe. Spika alitoa kauli hiyo jana…
Continue Reading....Mama Salma Kikwete Atunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya Uongozi
Na Anna Nkinda – Maelezo, Dubai MKE wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Uongozi wenye Hamasa kwa mwaka 2013 (Global Inspirational…
Continue Reading....Kuzishuhudia Simba na Yanga Kwenye Nani Mtani Jembe Shs 5,000
KIINGILIO cha chini kwenye mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga itakayochezwa Jumamosi (Desemba 21 mwaka huu) ni sh. 5,000. Kiingilio hicho ni…
Continue Reading....Sikinde Yajichimbia Bagamoyo, Kuikabili Msondo
Na Badru Kimwaga HOMA ya pambano la watani wa jadi katika muziki wa dansi nchini kati ya Mlimani Park ‘Wana Sikinde’ na Msondo Ngoma…
Continue Reading....