Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,015

Author: jomushi

Rais wa Zanzibar Azinduwa Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar

Posted on: December 30, 2013 - jomushi
Rais wa Zanzibar Azinduwa Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar

Continue Reading....

TFF Bado Inamtambua Rage Kama Mwenyekiti wa Simba

Posted on: December 30, 2013 - jomushi
TFF Bado Inamtambua Rage Kama Mwenyekiti wa Simba

  ISMAIL Aden Rage ndiye Mwenyekiti halali wa Simba ambapo Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imemtaka kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu…

Continue Reading....

Nimeambukiza Wengi Ukimwi kwa Makusudi: Jane

Posted on: December 30, 2013 - jomushi
Nimeambukiza Wengi Ukimwi kwa Makusudi: Jane

MIMI ni Jane naishi mwenge Dar es Salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza…

Continue Reading....

Wanafunzi 411,127 Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2013

Posted on: December 28, 2013 - jomushi
Wanafunzi 411,127 Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2013

SERIKALI imetangaza idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani, huku 16,482 wakishindwa kuchaguliwa kutokana na uhaba wa madarasa. Wanafunzi hao ni kati ya…

Continue Reading....

Brotherhood Wakichoma Moto Chuo Kikuu cha Misri

Posted on: December 28, 2013 - jomushi
Brotherhood Wakichoma Moto Chuo Kikuu cha Misri

WANAFUNZI ambao ni wanachuo na wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood lililopigwa marufuku nchini Misri wamepigana na polisi kwenye Chuo kikuu cha Al Azhar mjini…

Continue Reading....

Sherehe za Mahfali ya 9 Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar

Posted on: December 28, 2013December 30, 2013 - jomushi
Sherehe za Mahfali ya 9 Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar

[/caption] Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya habari, waliotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari