Kisakuzi.com ni mtandao unaoonesha video za matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Mtandao huu, unanunua video na kumuwezesha mtazamaji kujiongezea kipato chake. Kutokana na ubora au tukio…
Continue Reading....Author: admin
Picha 14 za Jay Z na Mwanae Blue Ivy Carter…!
Angalia hizi picha uone Jay Z alivyo baba safi wa binti yake Blue Ivy Carter
Continue Reading....African Space Research Program
Vijana (Wanasayansi) nchini Uganda, wameanzisha African Space Research Program na mpaka sasa wamemaliza project mbili ya kwanza ni military craft, na ya pili ni PROJECT…
Continue Reading....Umeshasikia Kuhusu SmartPhones, SmartBelt Sasa Kuna SmartBeds
Hivi majuzi niliongelea kuhusu Smart Belt, mkanda ambao unajiongeza na kujipunguza wenyewe kutokana na jinsi ulivyoshiba. Leo nakufamisha kuhusu Luna; Luna ni “bed cover” ambayo…
Continue Reading....Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akutana na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam uliomtembelea…
Continue Reading....Angalia Stephen Fry Anavyomjaribu Mungu
Bonyeza hapa uangalie video ya mchekeshaji maarufu wa nchini Uingereza Stephen Fry akijibu swali baada ya kuulizwa kuwa atamwambia nini Mungu siku akifa na kugundua…
Continue Reading....