MBUNGE wa Igunga, Rostam Aziz ametoa pole ya Sh milioni 6.5 kwa wananchi walioathiriwa na mvua kubwa wilayani hapa WAATHIRIKA wa mwishoni mwa wiki iliyopita.…
Continue Reading....Author: admin
Familia ya Gaddafi yapigwa marufuku Urusi

MOSCOW, Urusi RAIS wa Urusi Dmitry Medvedev juzi alisaini amri ya kumpiga marufuku kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi kuingia au kusafiri kupitia eneo la Urusi.…
Continue Reading....Daktari: Mgonjwa Loliondo amepona Ukimwi

DAKTARI Joachiam Mbosha wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Ngorongoro ya Wasso, amethibitisha kuwa mmoja wa wagonjwa wa Ukimwi aliyekwenda kutibiwa kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapile,…
Continue Reading....NSSF yajitosa Kiwira

*Yaomba ikabidhiwe mgodi izalishe umeme megawati 500 *Italipa madeni ya bilioni 28/-, mishahara ya watumishi wote *Tanpower kikwazo kwa hisa 70%, wizara yaweka kauzibe *Zito:…
Continue Reading....Maafa ya Japani hayana kifani

WAKATI Japani, taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi duniani likihaha katika harakati za uokoaji, mamia kwa mamia ya miili watu waliokufa kutokana na tetemeko la ardhi…
Continue Reading....Umoja wa Kiarabu waunga mkono vikwazo Libya

UMOJA wa Nchi za Kiarabu umeunga mkono wazo la kuzuia ndege kuruka katika anga ya Libya, huku waasi wakiendelea kufurushwa kutoka miji waliyokuwa wakiishikilia. Mkutano…
Continue Reading....