Arusha hapatoshi; Slaa, lissu wakamatwa Posted on: November 8, 2011 - jomushi Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi jana kabla ya kukamatwa na polisi kwa kosa la kufanya mkusanyiko pasipo idhini yoyote. Picha na Janeth Mushi)