Ajali Sinza, Gari Linapoacha Njia…! Posted on: August 24, 2014 - jomushi Post Tags: ajali, Gari, Sinza Gari likiwa limepoteza uelekeo na kuingia mtaroni pembeni mwa barabara ya Shekilango, Sinza jijini Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa mashuhuda hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.