Ajali Mto Wami, Malori Yafunga Barabara…!

 Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la Mto Wami.
Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la Mto Wami.

 Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la Mto Wami. 

 Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro

 

 

Ajali mbaya imetokea mda huu eneo la Mto Wami na kusababisha foleni kubwa kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo,hizi ni baadhi ya picha za ajali hiyo. Mashuhuda alisema chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kuharibika kwa mfumo wa  breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo. Polisi wanaendelea na jitihada za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari. PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG

Related Post

One thought on “Ajali Mto Wami, Malori Yafunga Barabara…!

  1. Hawa madereva wamsiku hizi wanateremka kwenye miteremko ya wami kwa mwendo mkali na wala sio kosa la breki kabla hujafika kwenye mteremko kuna ishara inakwambia Hatari punguza mwendo alafu kuna ishara nyingine inakwambia badilisha na utumie gia kubwa kutegemea na mzigo wako lakini kwa ujumla inatakiwa uteremke taratibu kama kitonga lakini tufanye nini hakuna dawa acha wanunue leseni kama mandazi.

Comments are closed.