Afrikwetu Bandi ya Tanzania kutumbuiza Uganda leo Posted on: May 4, 2012 - jomushi Wasanii wa muziki wa asili wanaounda kundi la Afrikwetu Band Wanatarajia kufanya show yao kabambe leo Jinja nchini Uganda, kwenye tamasha la Doa Doa.