MUVI yatoa mafunzo kwa waendesha Mashine za kukamua Mafuta ya Alizeti Posted on: November 8, 2011 - Rungwe Jr. Waendesha mashine ya kukamua alizeti wakimsikiliza fundi bw Mussa P.Mussa Mratibu wa mradi wa MUVI mkoa wa Ruvuma Bi Neema Munisi akichangia mada katika mafunzo Kaimu Meneja wa SIDO, Bw. Athur Ndedya, akifunga mafunzo kwa waendesha mashine (Picha zote na Dunstan Mhilu)