
![]()  | 
| Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akizungumza jambo baada ya kukagua ghala la mbegu bora za kampuni ya Monsanto zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora | 
![]()  | 
| Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania, Frank Wenga  akieleza mipango kamambe ya kuwafikishia mbegu bora wakulima kote nchini.  | 
![]()  | 
| Wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ofisi ya Monsanto Tanzania. | 
![]()  | 
| Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania, Frank Wenga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . | 






