Baadhi ya washiriki wa Shindano la Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Hoteli ya Regency Msasani jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi rasmi.
Mkurugenzi wa Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundega akizungumza na waandishi wa habari hotelini hapo mara baada ya idadi kubwa ya warembo hao kuwasili tayari kuanza kambi rasmi. Kushoto ni Mkuu wa Itifaki Albert Makoye na kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Miss Tanzania, Deo Captain.
Warembo wakiwasili kwenye Duka na Mgahawa wa Kampuni ya Tomoni Farm, la ‘The Farm Fresh Market’, maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam kujionea shughuli mbalimbali zifanywazo na kampuni hiyo, pia kujipatia chakula cha mchana.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tomoni, wauzaji wa mbogamboga za majani, nyama, vyakula na juisi za matunda halisi, Franklin Bagalla, akiwapatia maelezo warembo hao walipotembelea duka la kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya warembo wa Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Tomoni, wauzaji wa mbogamboga za majani, nyama, vyakula na juisi za matunda halisi, Franklin Bagalla (katikati), nje ya duka la The Farm Fresh Market, Victoria jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tomoni, wauzaji wa mbogamboga za majani, nyama, vyakula na juisi za matunda halisi, Franklin Bagalla (katikati), akiwapatia maelezo warembo hao, wakati akiwambeza kwenye sehemu mbalimbali za kampuni hiyo, leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya warembo wa Miss Tanzania wakiangalia Menu walipofika Mgahawa wa Kampuni ya Tomoni Farms, Victoria jijini Dar es Salaam leo.
| 
 JINA  
 | 
 MKOA/ KITUO  
 | 
 KANDA 
 | 
  | 
 DAR CITY CENTRE 
UKONGA 
TABATA 
DAR CITY CENTRE 
 | 
 KANDA YA ILALA 
 | 
  | 
 UBUNGO 
DAR INDIAN OCEAN 
SINZA 
SINZA 
 | 
 KANDA YA KINONDONI 
 | 
  | 
 LINDI 
MOROGORO 
MOROGORO 
MTWARA 
 | 
 KANDA YA MASHARIKI 
 | 
  | 
 DODOMA 
SINGIDA 
SINGIDA 
 | 
 KANDA YA KATI 
 | 
  | 
 IRINGA UNIVERSITY 
 | 
 KANDA YA ELIMU YA JUU 
 | 
  | 
 GEITA 
MWANZA 
GEITA 
 | 
 KANDA YA ZIWA 
 | 
  | 
 ARUSHA 
KILIMANJARO 
TANGA 
MANYARA 
 | 
 KANDA YA KASKAZINI 
 | 
  | 
 IRINGA 
IRINGA 
RUVUMA 
MBEYA 
 | 
 KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI  
 | 
 . 
 | 
 MBAGALA 
KIGAMBONI 
MBAGALA 
 | 
 KANDA YA TEMEKE 
 | 
