

| Meneja wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana.
|
|
Wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wakiwa wameketi kwenye madawati waliopewa na kampuni ya simu za mkononi Tigo jana.
|
