
| Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016, George Mbijima akivalishwa Skafu na kijana wa Scout wakati wa kuanza kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika halmashauri ya wilaya ya Arusha DC. |
| Mkurugenzi wa New Age Company Ltd,Godson Ngomuo akimwonyesha Samani zinazotengenezwa na kuuzwa na kampuni yake na kusaidia kutengeneza ajira kwa vijana wazawa. |
| Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016, George Mbijimaakizungumza na maafisa wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilaya ya Arumeru wanaotoa elimu dhidi ya Rushwa. |
| Vijana wa JKT Oljoro na Scout wakiserebuka kushangilia Mwenge wa Uhuru. |
| Moja ya mradi wa maji uliozinduliwa katika Kijiji cha Lekamba. |
