Mchezaji wa kulipwa Mtanzania Mbwana Samatta Anakuwa Mtanzania wa Kwanza kushiriki michuano mikubwa ya soka baada ya timu yao kufuzu michuano ya Europa Ligi na Kupangwa Kundi F katika ratiba iliyotoka leo
Ratiba Kamili Hii Hapa