

Rais Mstaa mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akiagana na Issa Michuz

Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18) yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo

Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba akimpa pole Issa Michuz
