Sherehe za Bayern Munich Babu Kubwaaaaaaaaaaa Posted on: May 14, 2016 - Yohana Chance Klabu ya Bayern Munich imekabidhiwa taji la oleo baada ya kuilaza Hannover 96 kwa jumla ya Bao 3 – 1 wakiwa nyumbani kwao