Matukio ndani ya Tamasha la Jinsia leo Posted on: September 14, 2011 - jomushi Mkurugenzi Mtendaji wa HakiArdhi, Yefred Muyenzi akizungumza leo katika Tamasha la Kumi la Jinsia linaloendelea TGNP Dar es Salaam. Baadhi ya wanaharakati wakifuatilia mada mbalimabli. wanaharakati wakifuatilia mada anuai