
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina ‘John Walker’ Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili. (Picha na Francis Dande

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina ‘John Walker’ Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili

Baadhi ya waombelezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya marehemu, Michael Dennis Mhina ‘John Walker’ kwa ya kuusafirisha kwa maziko mkoani Tanga, Dar es Salaam.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Michael Dennis Mhina ‘John Walker’.

Wasanii wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa msanii wa Bongo Fleva marehemu John Walker

Wengi waishindwa kujizuia wakati wa kutoa heshima za mwisho

Heshima za mwisho
