
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam jana February 4, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila alipowasili katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa meza kuu na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na Jaji Mkuu wa Kenya Dkt Willy Mutungwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam jana February 4, 2016

Wadau wa Sheria wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam jana February 4, 2016

Majaji katika sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

Wadau wa Sheria wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa akisikiliza jambo tomakwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na wadau wa Sheria wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea risala kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Mhe. Biswalo Mganga aliyeisoma risala kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju ambaye yuko Bungeni Dodoma

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kwenye sherehe hizo

HAPA NI KAZI TU.