
![]() |
| Baadhi ya wananchi wakitembelea mabanda anuai katika maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Pichani ni baadhi ya mashine na magari yanayotumika kwa kilimo wakiwa katika maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. |










