Binti Huyu wa Miaka 13 Amepotea…! Posted on: January 8, 2016 - jomushi Mtoto huyu aitwaye Khadija Hassan mwenye umri 13 amepotea tangu Jumatatu tarehe 4 January 2016.Mwisho alionekana eneo la KEKO Mwanga.Ukimuona tafadhali utupigie Simu 0657697217 or 0719 537 565