
![]() |
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akiteta jambo na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania, Dk. Fredrick Shoo . |
![]() |
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo. |
![]() |
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk. Gileard Masenga akizungumza jambo mbele ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi (hayupo pichani). |
![]() |
Dk. Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC. |
![]() |
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya ngazi kuu za kuingilia wodini katika hospitali hiyo. |
![]() |
Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo. |
![]() |
Mwenyekiti mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akiongozana na Mkurugenzi mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC wakipita katika ngazi kuu zilizofanyiwa ukarabati hii karibuni. |
![]() |
Dk. Mengi akitizama baadhi ya maeneo katika wodi za hospitali ya rufaa ya KCMC ambayo miundombinu ya maji pamona na vyoo imekuwa chakavu. |
![]() |
Sehemu ya maeneo ambayo yameathirika na uchakau wa miundo mbinu ya maji. |
![]() |
Dk. Mengi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
![]() |
Mkurugenzi mtendaji wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC, Dk. Giliard Masenga akimuonesha Dk. Mengi maeneo mbali ya hospitali hiyo ambayo upanuzi umeanza kufanyika kama sehemu ya kuboresha huduma ya afya. |
![]() |
Dk. Mengi akiaga mara baada ya kutembelea hospitali ya rufaa ya KCMC pamoja na kuzindua ngazi kuu za kuingilia wodini. Picha na Dixon Busagaga. |