Mchezaji wa Bongo Starz, Abdul (Kulia) akisalimiana na mwenzie huku Jacob akishuhudiaJacob akisalimiana na Ngomesha, huku Abdul akiutafuta mpira ulipoBeki king'ang'anizi George, akitafakari aanzie wapiMazoezi yamechanganya
Beki machachari, Marcos (Kulia) akijiandaa kutuliza mpiraKapteni Jovis (Jezi ya bluu kati) akionekana kuwapa wachezaji wenzie mawili matatuKapteni Jovis akiendelea kutoa maelekezoMarcos akionekana kusema jambo, na Amir (Kulia) akiwa anavuta pumziMshambuliaji machachari, Jacob akiyoyoma na mpiramuda si mrefu Jacob anakutana na upinzani mkali.......sekeseke golini......sekeseke zinaendelea.......mambo yamebadilika.....muda wa kupasha tena viungo ulifikaWatoto nao walikuwepo kusaidia baba zaotwende Kapteni........Bongo Starz inayo hazina yakutosha kabisaaa......kazi ipo
sijui nini kinaendelea hapo baina ya Kapteni Jovis na mkuu Mtango......Muda wa Rungwe Jr. naye kuvuta pumzi ulifika.......
Baada ya mazoezi mazito, Muze (kushoto), Rungwe Jr., na George wakila pozi.....