
![]() |
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akiwa amesimamishwa na moja ya w anakijiji wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma. |
![]() |
Baadhi ya wananchi waliomsimamisha njiani mgombea mwenza wa CCM, alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. |