Take a stroll down memory lane with these classic photos of iconic people in their younger and more advanced years. The rich and famous are not even immune to the plodding of time.
HAWA JAMAA HUZEEKA VIBAYA ILA USIWAPIMIE HAWANA MARADHI YA KIJINGA KAMA FIGO N.K ISTOSHE HAWAPOTEZI UFAHAMU KIJINGA JINGA LAKINI WAZEE WETU MIAKA 70 ETI HANA NETWORK WAPUNGUZE NDUMBA ULAYA WANAKULA VIZURI MDA MWINGI HUJISOMEA VITABU HAPA KWETU KIZEE KIKISOMA KITABU KIMESOMA TASBIHI SIKILIZIA MAKOMBORA YAKE WAZEE WA BUSARA.
KUSEMA UKWELI ‘BLACK IS BEAUTIFUL’ HAWA WATU WEUPE PAMOJA NA MAZOEZI NA KULA VIZURI WANAZEEKA NA KUCHAKAA MAPEMA LAKINI KWETU MTU WA AGE YA 50 BADO ANALIPA HATA KAMA HAFANYI MAZOEZI NA ANAKULA VYAKULA VYA ASILI.
Masikini weeee, Swaziniga, kubeba NONDO ujanani raha, ila fainali uzeeni 🙂