| Maratibu wa Mbio ,Meta Paul akiwa na mmoja wa wasiamamizi ,Leila wakati wakiwaandaa wanariadha kuanza mbio za Km 21 katika lango la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. |
| Mbio zikianza rasmi. |
| Baaadhi ya washiriki katika mbio hizo, walikuwemo pia wadhamini kama Maremga Investment,hapa Marenga mwenye truck suit nyeusi akijaribu kukimbiza upepo. |
| Awawli mbio zikiwa bado ndio zimeanza kundi la wakimbiaji lilionekana wote wanakimbia kwa karibu. |
| Muda ulivyosonga na hatua ndivyo zilivyo ongezeka. |
| Hatimaye wakaanza kuachana mmoja baada ya mmoja, |
| Wengine wakaamua kwenda pamoja ili kupeana moja. |
| wengine wakafunguka zaidi. |
| Hatimaye wakapatikana wakimbiaji watatu wakaongoza hadi mwisho wa mbio na hawa ni ,Joseph Theofily(katikati),George Gerald (kulia) na Emanuel Giniki. |
| Mkimbiaji raia wa Kenya ambaye jina lake halikufahamika mara moja akijaribu kuonesha umahiri wake katika mbio hizo. |
| Msichana pekee aliyekuwa akiongoza ni Failuna Abdi . |
| Nyuma ya Failuna alikuwepo Nathalia Elisante. |
| Mshindi wa kwanza katika Mbio za Ngorongoro Maratahoni 2015 ,Joseph Theofily akimaliza mbio hizo katika uwanja wa Mazingira Bora akitumia muda wa 1:03:09. |
| Mshindi wa Pili katika mbio hizo ,George Gerald akihitimisha mbio hizo akitumia muda wa 1:03:36 |
| Mshindi wa tatu ,Emanuel Giniki akikalimilisha mbio kwa muda wa 1:03:42. |
| Giniki akijaribu kupoza koo mara baada ya kumaliza mbio. |
| Mkimbiaji wa klabu ya riadha ya Holili,Osward Moris akihitimisha mbio. |
| Mshindi wa kwanza kwa kina dada Failuna Abdi akihitimisha mbio katika nafasi ya kwanza baada ya kutumia muda wa 1:10:25 |
| Mgeni rasmi katika mbio hizo ,Waziri mkuu Mstaafu ,Fredirck Sumaye akiingia uwanjani huku akihitimisha mbio za km 21 .Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya
http://www.cabinet-hebrard.com/mgf/vente-cialis-belgiqueefficacité cialis 5http://www.deleaupourtous.org/jzs/ou-trouver-du-viagra-sans-ordonnance-en-belgiquetemps d’effet viagra
Kaskazini. |
