Salama za Chrismass Toka Ngoma Afrika Bandi

Ngoma Africa Band wakiwa katika moja ya onesho Ujerumani.
Ngoma Africa Band wakiwa katika moja ya onesho Ujerumani.
Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni wakidatisha Tubingen
Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni wakidatisha Tubingen

BENDI ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibu, yenye makao nchini Ujerumani, nawatakia wadau wote popote pale MERRY X-MASS, msherehekee kwa Amani na Upendo bila kusahau kusikiliza mdundo at www.ngoma-africa.com pia at http://itunes.apple.com/album/id947329929 au
http://www.play.spotify.com/album/4kG86JgvuyWQtgCPCPmCkY

Related Post