Zijue Tabia 7 za Wanawake wanao-Cheat

Kama mke wako, demu wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat.
black-couple-angry1-300x199

1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume mwingine wa kum-entertain, muda sio mrefu huyo mwanaume atachoka kum-entatain rafiki asiye na faida na ndio hapo atakapo anza kudai faida zake na wanaishia kuwa friends with benefits.

2) Marafiki wengi wa kiume – Mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume ni rahisi ku-cheat kwasababu anapata muda mwingi wa kuongea na wanaume wengine, watamsifia anavyopendeza, kama wewe unamwambia amependeza mara moja kwa wiki basi wenzako watamwambia anapendeza kila wanapoonana. Wataabza kumtoa out na mwisho wake ataona hao wanaume wamanjali kuliko wewe na kulala nao.

3) Anapenda attention – Wanawake wanaopenda attention ni rahisi kudanganyika. Wanaume wengi hasa ambao hawataki kuwa committed kwenye mahusiano yoyote wanatoa sana attention kwa wanawake. Mwanamke anayependa sana attention hawezi ridhishwa na attention ya mwanaume mmoja.

4) Anapenda vitu “material things” Wanawake wengi wanaopenda material things wanashindwa kupata kila kitu kutoka kwa waume zao au maboyfriend zao na kuishia kutafuta mwanaume mwingine ambaye ana uwezo wa kumnunulia vitu anavyotaka ili awatese wenzake kwenye instagram.
black-couple-kissing-e1329280934214
5) Ana marafiki ambao ni michepuko – Umeshasikia usemi kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja, hata kama demu wako hana tabia ya ku-cheat, akiwa anakaa sana na marafiki ambao wana-cheat na yeye atashawishika kujaribu. Kama mke wako au demu wako ana kupigia story za marafiki zake wanao-cheat mwambie aachane nao haraka sana.

6) Anapenda kufanya ngono kuliko wewe – kila mkimaliza kufanya tendo la ndoa mwenzako anakwambia anataka tena, na wewe humtimizii basi lazima tatafuta serengeti boy ambaye anamsikiliza na kumpa anachotaka.

stay-or-go-divorce
7) Anaujuzi kitandani kuliko wewe – Wewe kama umeshawahi kuingia kwenye dancing floor na kucheza na mtu ambaye anajua kucheza kuliko wewe, unasubiria tu wimbo ukiisha ukakae chini kabla hujaaibishwa, au kama wewe ndio unayejua kucheza vizuri utatafuta mtu mwingine anayejua kucheza kama wewe. Kwenye tendo la ndoa ni hivyo hivyo kama mwenzako ana ujuzi kuliko wewe, inabidi ufanye mazoezi ufikie kwenye ujuzi wake la sivo muda sio mrefu atasubiri wimbo ukiisha akakae chini au atafute mtu mwingine anayejua kucheza kama yeye.

Demu wako au mchepuko wako una tabia moja wapo kati ya nilizozitaja hapo juu? Usisite kuacha comments hapo chini.

Related Post

3 thoughts on “Zijue Tabia 7 za Wanawake wanao-Cheat

  1. Nimesoma yaliandikwa humu na sikupata niyotegemea kupata. Kuna vijitabia ambavyo husababishwa na mwanaume uliyenaye na vingine Ni tamaa. Nilidhani kuwa tupata mafunzo yajinsi ya kuenenda navyo Ili kuwa na mahusiano yalioyo bora zaidi than kutafuta makosa. Ni lini tutaamka na kuwa wanaadamu bora hasa nyie akina baba? Jambo likifanywa na mwanamke Ni maajabu ila jambo hilo hilo likifanywa na mwanaume Ni bora na atasifiwa, acheni uzanfoki wanaume. Mara zote mwanaume Ni chanzo cha mavurugiko ya mahusiano. Inasimitisha Sana na kisha dunis owafuete viongozi fyongo. Maana mwanaume kiongozi wa familia lakini wamepoteza dira kabisa ndio maana Leo dunia inayoyoma na ubovu wa tabia ulio na uozo ndani yake.

  2. Comment…Nani Chanzo Cha Kuharibu Tabia Za Hawa Dada Zetu,ugumu Wa Maisha Au,…

Comments are closed.