Mabondia Ibrahimu Tamba na Julius Kisarawe Wakusanya Mikanda ya TPBO

Bondia Mrisho Adam  kushoto akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo Picha na SUPER D BLOG

Bondia Hassani Kiwale kushoto akipambana na Julius Kisarawe wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa wa chama cha TPBO Kisarawe aluishinda kwa point mpambano huo Picha na SUPER D BLOG

Refarii Sako Mtlya akimnyoosha mkono juu bondia Ibrahimu Tamba baada ya kumgalagaza Maisha Samsoni kwa K,O ya raundi ya pili katika mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita

Related Post