Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Mhandisi wa ujenzi wa daraja la Mto Mbutu, Christopher Makoye wakati alipokagua ujenzi wa daraja hilo akiwa kwenye ziara zake.
Mkuu wa wilaya ya Igunga Bw. Elibariki Kingu akizungumza na vyombo vya habari katika eneo hilo la ujenzi mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kukagua ujenzi wa daraja hilo. Picha zote na FullShangwe Blog Igunga.