Related Post

One thought on “Msomaji Hachagui Shule, na Mchagua Shule Si Msomaji!

  1. Pamoja na kwamba “Msomaji Hachagui Shule, na Mchagua Shule Si Msomaji”, lakini ingeleta hamasa zaidi kwa wasomaji kama jengo la shule hii lingeboreshwa. Kwa joto la Dar, watoto hamsini kwenye jengo hili la mithili ya kufugia kuku, sipati picha jinsi wanavyokaangika. Kwanza nani katoa kibali cha shule hii kupokea wanafunzi?

Comments are closed.