Baadhi ya wachezaji wa Mbeya City wakishangilia goli…!Mashabiki wa Mbeya City wakiwa uwanjaniMashabiki wa Mbeya City wakiwa uwanjaniPicha ya kikosi cha Mbeya CityMashabiki wa Tanzania PrisonsPicha ya kikosi cha Tanzania PrisonsTimu zote zikisalimia mashabikiFoleni za kuingia uwanjani.Foleni za kuingia uwanjani.Timu zikiingia uwanjaniMchezo kati ya timu ya Mbeya City na Tanzania Prisons ukiendelea…! Katika mchezo huo Mbeya City imeifunga Prisons bao moja kwa bila.Mchezo kati ya timu ya Mbeya City na Tanzania Prisons ukiendelea…! Katika mchezo huo Mbeya City imeifunga Prisons bao moja kwa bila.Waamuzi…!Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Mbeya wakiwa kazini, kufuatilia mchezo huo.Uwanjani ulinzi hadi mbwaKocha wa Mbeya City akizungumza na wanahabari mara baada ya mchezo.Matokeo yalisomeka hivi uwanjani hadi mwisho wa mchezo.