The Tanzanian Effect (Inasaidia Team za Marekani Kushinda Mechi) Posted on: January 27, 2014January 27, 2014 - admin Swali langu ni moja, kama hii ni kweli, mbona team zetu za Tanzania hatuitumii hii Tanzanian Effect ili na sisi tupeleke team yetu ya taifa kwenye world cup?????