Happy Birthday Mzee Mandela! Posted on: July 18, 2011July 18, 2011 - Rungwe Jr. Mzee Nelson Mandela akiwa na Mlimbwende Naomi Campbell katika moja ya harakati zake Mzee Mandela leo tarehe 18/7/2011, ametimiza miaka 93 ya uhai wake! dev.kisakuzi.com inamtakia afya tele na maisha marefu zaidi mzee wetu huyu.
Mzee mandela anapeta tu mungu amzidishie afya njema,anakimbiza mia sasa yaani we acha tu.
I Wish all the best to Madiba.
Yes!Mr Madiba happy birthday!