MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROF MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU

MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROF MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU

Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa hadhara

Maelefu ya watu kumtano kwenye uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya

Msafara wa pikipiki ukipokea msafara

Nape akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya

Nape akiendelea kuhutubia kwa hamasa kubwa

Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Prof Mwakyusa akizungumza. Kushoto ni Nape

Spika Mstaafu, Mh. Samuel Sitta akihutubia katika mkutano huo

Mbunge wa Kyela, Mh. Harrison Mwakyembe akihutubia kwenye mkutano huo

Nape akimkaribisha  Mwenyekiti wa Mtandaano wa Chadema wa wanataaluma Prince  Mwaihoja

Katibu wa Vijana na Jimbo la Mbozi wa Chadema Warren Kaminyonga akionyesha kadi yake kabla ya kumkabidhi Nape

Nape akicharaza gita wakati wa mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya

Related Post

2 thoughts on “MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROF MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU

  1. wanaendelea na kampeni wakati uchaguzi umekwisha hii yote inaonyesha wazi hawana uhakika na kile wanachokifanya huku wakiwa na shaka kubwa kwa lile linalokuja,hebu angalia hawa wana ccm walivyoathirika na moshi wa mwenge yaani bado wanajazana tu hata katika hii dunia ya leo na chama kilichozeeka?

  2. Hii ni dalili ya mfa maji kwani siku zote haishi kutapatapa. Hii inaonyesha jinsi gani walivyo fulia na hawawezi kuanika kwani mvua inanyesha.

Comments are closed.